Miongoni mwa mambo ambayo kwa sasa yanaonekana tofauti ni uongozi huu wa dk john pombe magufuli ambapo kwa kipindi kifupi alicho kaa madarakani amefanya kazi ya miaka mitano iliyo pita ya seriikali iliyo pita hilo halina ubishi kwa watanzania walie mpigia kura na walie mpigia kura ndugu john pombe magufuli kushika hatamu hii hii ya uongozi wa awamu ya tano ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mapenzi Michael ni moja ya watu walio kuwepo katika kinyang`anyiro cha uchaguzi mkuu ulio fanyika oktoba 25, 2015 na kuamua magufuli kuwa raisi wa nchi hii tulivu ya Tanzinia katika mahojiano na mwandishi wa blog hii mapenzi michael amezungunza mengi kuhusiana na imani yake juu ya serikali hii
Mapenzi michael yeye ni mzaliwa wa dodoma kata ya
chamkoroma ambapo alikuwa an pigania achukue hatamu kwa ngazi ya udiwani katika kata ya chamkoroma hapo hapo alipo zaliwa na kushindwa uchaguzi huo na ccm kuchukua ushindi kupitia kwa DIMONI
Mapenzi michael akiwa katika kava wakati anagombea udiwani chamkoroma mkoani dodoma
katika mazungunzo yetu mapenzi ameelezea haswa uwajibikiaji wa john pombe magufuli pia emetoa pongezi kwa kuweza kutekeleza ahadi yake ya elimu bure ambayo tumesikia zimetanganzwa bilion 18.77 ziende shule zote za serikali kwa ajili ya ahadi yake alio itoa kwa elimu bure
amepongeza magufuli kwa kuwa viongozi waliopita hawakuweza kutimiza ahadi zao kwa wakat i tena kuna wengine miaka miwili ya mwisho ya uongozi wao ndio wameanza kutekeleza japo ahadi zao na hazikuika mwisho
akitoa mfano mzuri wa viongozi mapenzi michael amemtolea mfano zito kabwe kuwa hata akija kugombea jimbo lolote hapa Tanzania mh zitto kabwe ataweza kuchaguliwa kwakuwa ahadi zake anazitekeleza kwa wakati na huwa hafanyi siasa nyingi huwa anatekeleza kile wananchi wanacho kitaka hiindio aina ya viongozi tunao wahitaji
namfananisha magufuli na musa ambae alifanya juhudi ili kuwakomboa ndugu zake na hii inafana na yeye chama alicho kuwa watu wengi hawakuwa na imani kuwa angeweza kutumbua majipu ambapo nafikiri hat angechukua lowasa asinge weza kufanya yote japo mabadiliko yange kuwepo kweli ameongeza mapenzi kuwa alicho kifanya farao ni kama ccm na magufuli ni kama musa yaani farao aliwachinja watotot wote wakiume baada ya kujua kuwa kuna mtu atakuja kupindua na hii ina fana kabisa na magufuli na anacho kifanya sasa
pia ametanabaisha kuwa endapo ataendelea hivi anavyo fanya hata 2020 ataweza kupata kura nyingi zaidi mana wananchi watakuwa na imani nae na hii ndio haswa upinzania tulikuwa tunataka kuwa tunatka Tanzania mpya ambayo inayo jitegemea na nina amini kwa kasi hii ya ukusanyaji wa mapato bajeti ya mwaka huu itakuwa na mabadiliko makubwa michael amealizia kuwa hii ndio haswa tulie kuwa tuna itaka
hapa mapenzi akiwa jukwaani akinadi sera
ALIPO MUULIZA KUHUSU VIONGOZI WENGINE WALIO KUWA KATIKA MBIO HIZO mapenzi amejibu kuwa kama nilivyo kueleza haswa mpinzani wake ambae ni lowasa asinge weza kufanya yote hayo kwakuwa na yeye ni mfanya biashara mkubwa sasa kuwazuiya na kuwabana wafanya biashara ni kama na yeye angejibana pia
pia ameongeza kuhusu watu kulalamika baraza la mazwaziri kuwa kubwa mapenzi alikuwa na maoni tofauti ameotoa mfano serikali iliyo piayta ilikuwa na jopo la watu 60 yaani ninusu ya hii alo chagua dk magufuli bado baraza ni dogo mno na alicho angalia magufuli ni kwamba kama kiongozi anauwezo wa kupiga kazi kwanini ajaze wengi pia amewapongeza wengine wakina mwigulu mchemba ,january makamba na kusema kuwa miongoni mwa wachapakazi
alipo ulizwa kuhusu mapungufu ya mh rais kwa kipindi hki bado amesema haja yaona ila tusubiri na tuzidi kuliombea taifa letu lizidi kupata viongozi wa aina hii kwani tuta weza kujongoza wenyewe pia ameomba zanzibar haki itumike na alie shinda atangazwe ili tuzidi kulijenga taifa letu