
alikiba akifanya tour yake ya lupela ambayo ndiyo hitsong yake alie itoa hivi karibuni pia amefanya mahojiano na djtas wa magic fm alipo muuliza kuwa naomba uchague muziki mmoja wa dimond akauchagua je utanipenda kwa kuonesha kuwa ana sikiliza miziki na ngoma kali za wasanii wote
hit maker huyo wa chekecha mwana na hivi sasa lupela mabapo ni nyimbo tatu tangu arudi miaka miwili iliyo pita na nyimbo moja ya kushirikiana ametanabaisha kuwa collabo ziko baadhi amefanya na nyingine zina kuja ila collabo itakayo fuata itakuwa na sauti sol
dj tasi pia alimuuliza kuhusu ne-yo akasema vitu vyake vitakuwa suprize kwahiyo wasubiri mwaka huu vitu vizuri vitakuja
No comments:
Post a Comment