
SEYI SHAY AKIWA KATIKA POZI LA PICHA
kuwa atafanya collabo na ALIKIBA pia ben paul alipo fika katika kipindi cha xxl kinacho endeshwa na bdozen shey sey amesema ana mkubali alikiba japo pia dimond japo hana masawasiliano nae pia amewaomba watangazaji hao wamtafutwe christian bella popote alipo anataka kufanya nae collabo hiyo ameisema wazi yoyote atakae sikia amwambie ndipo bidozen amesema watawasilisha ombi hilo kwa king of melody christian bella
kumbuka @mejialab amefanya video kali kama ya wizdkid,alikiba chekecha na nyingine nyingi
No comments:
Post a Comment