akizungunza na kipindi cha mkasi kinacho rushwa na salama jabir mkude ameeleza jinsi wasanii wanatakiwa wanjiongeze ili waweze kunufaika zaidi waongeze ubunifu ili sanaa ya vichekesho izidi kukua alipo ulizwa kuhusu yeye na wasaniiwenigne amesema kuwa yeye ni brand ambayo ina jiongeza hivyo wasanii ina bidi wakune vichwa

alikiba ni msanii aliye jikamilisha dimond ni mfanya biashara ukikaa na watu wanae jua muziki utaweza kuelezwa vingi na utofauti ya hawa wasanii alikiba na dimond hawana bifu bifu ina tengenezwa na mashabiki,, alikiba akienda kigoma anashuka ana niacha morogoro yeye anaendelea ana wakubali wote ila alikiba ni msanii na dimond mfanya biashara
ameongeza kuwa kabila la waruguru ni wabishi mno na ndio maana ame tumia sanaa yake kuweza kuelezea japo sio kwa ubaya
pia ameeleza JOTI,MPOKI NA MZEE MAJUTO ndio haswa ana wakubali na anatamani waje kufanya kitu kikali kama ikitokea