RAPA PUSHA-T AMETANGAZA TAREHE RASMI YA KUINGIZA SOKONI ALBUMU YAKE MPYA INAYOJULIKANA KAMA ;fear of God 2 , let us pray,AMBAYO ITAINGIA SOKONI KWA KUSHIRIKIANA NA LEBEL YA KANYE WEST YA G.O.O.D MUSIC IMPRINT
ALBUM HIYO ITAKUA NA NYIMBO 12 SAMBAMBA NA XCLUSIVE VIDEO NNE ITAKUA SOKONI NOVEMBA 4,2011 NA KATIKA ALBUM HIYO KUNA COLLABO ZA KUTOSHA
KAMA VILE RICK ROSS,DIDDY,KANYE WEST, TYLER THE CREATOR NA WENGINE WENGI
FEAR OF GOOD 2 CHECK NGOMA ZILIZOMO
1.CHANGING OF GUARD FT DIDDY
2.RAID FT 50 CENT
3.SO OBVIOUS
4.TROUBLE ON MY MIND FT TYLER,THE CREATOR
5.ISTILL WANA FT RICKROSS
6.ALONE IN VEGAS
NANYINGINE NYINGI TU SUBIRI HADI MDA HUO WA NOVEMBA UPATE VITU KUTOKA KWA MTU MZIMA PUSHA-T
No comments:
Post a Comment