Defensive midfield hapa sasa tunawakuta viungo kama metheu flamin na fransic coquelin hapa mbwiga ana kwambia ngada tu ngada ndio hawa hapa akina poul schols patric viera hawa kazi yao kubwa kuzuiya mashambulizi na kupandisha timu inapo kuwa katika hatari kazi zao hawa jamaa kuzuiya tu ila haimanishi ndio hawafungi magoli ila kazi kubwa kuzuiya timu pinzani isipte katika sehemuya tatu ya timu yoa
fransic coquelin akiwa kazi
hawa viungo ni wachache sana siku hizi kiungo mkabaji wanafosi makocha kuwa weka kuwa defensive pia hapa tuna wakuta wakina morgan Schneiderlin au mikel obi wa chelsea na henderson wa liverpool
Holding midfield hapa wapo wengi sana kama kina arteta ,Aaron ramsey na wengine wengi hawa wana element kama za defensive kuwa tofautisha huwa inak uwa ngumu sana ila kama ukijua mpira utajua kamabisa japo pia defensive mara nyingine ndio hao holding
Attacking midfield hawa wapo katika makundi mawili kundi lakwanza cental attack midfield (cam) yaani number 10 na left midfield (lam) yani namba 11 na right midfield (ram) yaani 7 hawaa wote ni viungo kwa mfano kuna wakati ozil alikuwa anacheza 11 ila bado ana base sana katikati ya pembeni
hapa sasa una mkuta mtu kama ozil,chamberlen, alexis anchez,
alexix sanchez
Box box midfield hapa sasa una mzungunzia mtu kama Aaron ramsey na webgine wengi tu kama watu hao kama juan mata ,oscar
deep lying midfield huyu yupo karibu na kiungo mkabaji mfano wake santi cazorla yeye kuzuia kidogo na kupandiha timu
hapo utakuwa kidogo umepata kuona jinsi gfani hawa viungo wnavyo changanya ila huyu cazorla mara nyingine anakaa kama play make wa timu

amini nyaungo
No comments:
Post a Comment